LYRIC

Tatizo kina lake
Haliln’ kanki mdomoni
Taswira ya sura yake
Hain’toki kichwani
Mapenzi na raha zake
Nazi miss jamani
Matashititi mahaba yake
Aninyila raha ndotoni

Kama shida pombe
Niko tayari kuacha
Aje tuyamalize
Si sawa mi kuniacha
Kama shida pombe
Sigara naacha
Aje tuyamalize
Si sawa mi kuniacha

Funika kombe mwana haramu apite
Kosa gani kubwa lisisameheke
Niambie basi japo nijirekebishe
Hii hali inatesa nitakuja nife

Kama shida pombe
Niko tayari kuacha
Aje tuyamalize
Si sawa mi kuniacha
Kama shida pombe
Sigara naacha
Aje tuyamalize
Si sawa mi kuniacha

Added by

yanson

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *