LYRIC

Aah katu katu tusijesurrender mi nawe
Kile kiapo chetu tutunze ajenda
Unajua mapenzi dili sana
Ndio maana aah
Hutunzwa kwa pesa nyingi sana
Na ushindikana aah

Baby oh, mwenzio
Kwako najiponea
Wananiona nanuna na mapenzi haya
Nafsi imekuridhia

Baby oh, baby oh
Nipe nikutibu na upone
Milele, milele na milele eh eh

Umenibamba, umenibamba
Umenibamba, umenibamba

Unajua uliopika vizuri mpenzi we
Ukirudi nitapika chakula kizuri nile nawe
Mi najua kufua nguo mpenzi wewe
Ni jukumu langu kuzifua mpenzi wewe

Baby mapenzi kumbe we
Usinizungurushe mwishowe unimwage eh eh
Hope yangu wewe usije churubuka
Mi nitange tange eeh

Baby oh, baby oh
Mwenzako najiponea
Wananiona nanona mapenzi haya
Nafsi imekuridhia

Baby oh, baby oh
Nipe nikutibu na upone
Milele, milele na milele eh eh

Umenibamba, umenibamba
Umenibamba, umenibamba

Baby love you mmmh
Ouwoo, woo, woo
Ouwoo…

Umenibamba, na akili yangu na
Umenibamba, na moyo wangu na
Umenibamba, umenibamba mie eh, umenibamba mie
Umenibamba, umenibamba mie eh, umenibamba

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post