LYRIC

Bad boy nashindwa kumlenga
Juu kila time najipata kwake tena
Tena na tena, tena na tena
Tena na tena

Bad boy nashindwa kumlenga
Juu kila time najipata kwake tena
Tena na tena, tena na tena
Tena na tena

Mi ni nasty from Jan to December
My only lingo ni fimbo inacheza
Vitu haram najipata nimependa
Tena na tena walahi siwezi sema

Tukiwa wawili hakuna usingizi
Story ya ndizi nablow ka filimbi
Ndo uwe ready tuget so busy
Juu mi ndo wera na hapa ni ofisi

Bad boy nashindwa kumlenga
Juu kila time najipata kwake tena
Tena na tena, tena na tena
Tena na tena

Bad boy nashindwa kumlenga
Juu kila time najipata kwake tena
Tena na tena, tena na tena
Tena na tena

Kutoka siku ya kwanza ndivyo aliniteka
Ni mgentle na sura imeweza
Ka ni chuma pia amebeba
Design imenifunga hapa ndio jela

Ye hunikula ka chakula nikiwa juu ya meza
Tena na tena hadi asubuhi mapema
Kuna day nilifeel ka nitahepa
Lakini kwake tena na tena, narudi

Bad boy nashindwa kumlenga
Juu kila time najipata kwake tena
Tena na tena, tena na tena
Tena na tena

Bad boy nashindwa kumlenga
Juu kila time najipata kwake tena
Tena na tena, tena na tena
Tena na tena

On repeat kwake nitaenda
Kwanza ikiwa season ya mapera
Ju nataka kubebwa kwa mabega
Alafu mi ni tasty sio easy kunitema

He’s a badboy toxic na chuma biggy
Kifua fiti anapiga tizi
Akiwa mtaa anashow watu wa Mwiki
Eque nimechizi hio mwili

Bad boy nashindwa kumlenga
Juu kila time najipata kwake tena
Tena na tena, tena na tena
Tena na tena

Bad boy nashindwa kumlenga
Juu kila time najipata kwake tena
Tena na tena, tena na tena
Tena na tena

Bad boy nashindwa kumlenga
Juu kila time najipata kwake tena
Tena na tena, tena na tena
Tena na tena

Bad boy nashindwa kumlenga
Juu kila time najipata kwake tena
Tena na tena, tena na tena
Tena na tena

Added by

yanson

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *