LYRIC

Oh lala… (Mr LG)
Oh ananipa changamoto kila muda namuwazia
Hadi nakua ka mtoto navyopelekwa nakwambia
Penzi Lina nchanganya sweet anawasha moto
Iko kipigo mkong’oto punguza Kasi naumia

Ah ah! Oh ma baby nzela oh nzela wa njenje (Njenje)
Nipe akapela ya utamu wa embe mbe (Embe)
Oh ma baby nzela yoh nzela wa Zoro (Zoro)
Nipe akapela uponye huu moyo eya aaah

Samba loketo, sambaloketo
Samba loketo, sambaloketo

Kaniminya kaniminya
Kanibana kanchota mzima
Kichwani najaa mawenge Ana uchezesha mtima
Mwenzako napenda vibaya

Sijakupenda bahati mbaya
Nadata nakoma na haya
Unanifanya kitu mbaya yayayah

Oh ma baby nzela oh nzela wa njenje nje (Njenje)
Nipe akapela ya utamu wa embe mbe (Embe)
Oh ma baby nzela yoh nzela wa Zoro (Zoro)
Nipe akapela uponye huu moyo Eyaa ah

Samba loketo, sambaloketo
Samba loketo, sambaloketo

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post