LYRIC

Mara ya mwisho ni jana usiku
Nilipomuona klabu
Tuli meet smoking room
Step ya mwisho ikawa counter ya juu

Pembeni walijaa masister duu
Full vimini viunoni tattoo
Hata hakujali mkuu
Haka wa join tu ila aah!

Mpaka lini utalalama wewe
Kuwa anakutesa yeye
Na kati me hisia zangu
Nilishakuonesha na hata hujali wewe

Na siwezi kuzungumzia moyo wako ooh
Naongelea hisia zangu na sitaki
Uchukulie kwa ubaya hili, eeh! eh!
Haitakuwa hakii…

Ujenge uwadui kwangu
Kisa hisia zangu
Kwake maumivu ukichoka
Kwangu nafasi ipo

Huku shamba la mapenzi tosha
Utavuna upendo
Siku ukihisi amekuchosha
Beba mpaka virago
Kwangu mlango wazi kwako
Nahitaji pendo lako

Ooh! Rainey Rainey
Ooh! Rainey Rainey
Don’t push me way (Oh away)
Don’t push me way (Oh away)
Ooh! Way Rainey
Don’t push me way (Oh away)
Am push me way

Natamani ujue, ili moyo hivi eh
Ninacho kiwaza juu ya wewe
Ungenikubalia ila sio rahisi
Mpaka natamani niende kwa kiti
Labda utaja niafiki
Iwe ni wapenzi au urafiki
And you know what am thinking

Kuishi na wewe tu binti
Ila ndivyo sio rahisi
Eti sababu unae eeh! Unadai

I wish one day nafsi yako ijue
Ninachotamani mie eeh!
Kati yetu nini iwe eeh!
Unahisi huwa nafurahia

Ninapoona huwa unalia
Hasa unapo nilalamikia
Ndani kwa ndani naumia

Ooh! Rainey Rainey
Ooh! Rainey Rainey
Don’t push me way (Ooh away)
Don’t push me way
Ooh! Way (Ooh away)
Rainey! Don’t push me way (Ooh away)
Don’t push me way

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post