LYRIC

Ai woh my we kununa vibaya
Hanihusu ndewe wala siki pressure chunga itakuzika
Ai kuchunguzana hata kama wivu utakupikaa
Maana ishakua tabia kwa io nsiongee na watu niogope utanichunguza wee
Labda nikuondoe wasi wasi nafasi moja moyoni ninakupenda wee
Kichwani kwa Mafiga nishakuinjika wee
Ohoo basi punguza wivu utaharibu michongo
Mi najua unanipenda
Huo wivu utaja nitoa nyongo
Meseji zisio kuhusu unafungua Tabia mbaya
Tena hatuaminiani nidhamu imepungua Tabia mbaya
Yeye yeee

Punguuzaa…..Punguzaaa
Punguuzaa…..Punguzaaa
Oh oho enhe enhee
La la lalaa
Oh yeee

Yeah Nalijua mkoko manga Utaninogea Ndio basi Chungu ina nkakasi
Hizo pigo sio ujiamini mwanamke kwa yako nafasi
Nikitoka unatokanyuma kwa nyuma Unanichunguza ee
Mapenzi gani au hivyo ndio ulifundwaa
Ohh my we asa nifanyaje mwenzangu ubadili tabia

Ugonjwa pale siponi ninapotibu tena unarudiaa
Meseji zisio kuhusu unafungua Tabia mbaya!
Tena hatuaminiani nidhamu imepungua Tabia mbaya!
Yeye yeee

Punguuzaa…Punguzaaa
Punguuzaa…..Punguzaaa

PunguZa Mamaa wee iyee
Punguuza ….Tuyajenge mapenzi mimi na wewe
Puuunguza..Punguza Punguza Ninakupendaa Punguzaa
Iyee ohoo
Punguzaa oh yee

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post