LYRIC

Haiwezi pita siku hajaniona
Na vimessage message kuvituma yeah yeah
Nimekipata kivuli pumziko yeah yeah
Naulizaga hauli, ananijali yeah yeah

Na hana baya, kanipiga loco (Lock)
Penzi kilo sio robo
Mahaba nikiwa naye (Yeah yeah)
Vicheko anitanie yeah
Akitoka nimwambie, vizawadi aniletee

Tuongozane popote
Taabu yako nami yangu
Popote, shida zako shida zangu
Popote, jua lako jua langu

—–
Vernyuy Tina
—–

Mahaba nikiwa naye, popote
Vicheko anitanie
Akitoka nimwambie, popote
Vizawadi aniletee

Popote, taabu yako nami yangu
Popote, hatua yako hatua yangu
Popote, shida zako shida zangu
Popote, jua lako jua langu

Tuongozane popote
Taabu yako nami yangu
Popote, shida zako shida zangu
Popote, jua lako jua langu


Vernyuy Tina
—-

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post