LYRIC

Pisi kali pisi kali (Aha)
Kama umeshushwa bei (Aha)
Typically typically (Aha)
Kama malaika baby

Nzi kwenye kidonda nakufa
Aii naona utamu (Nakufa)
Wanafiki wanakonda wanakufa (Kufa)
Mi naona utamu

Kama una pisi kali
Basi piga mayowe wee
Woyoo, piga moyowe

Kama una pisi kali
Basi piga mayowe wee
Woyoo, piga moyowe

Kama umeliwa na simba wee, pisi kali
Umetoka na Kiba wee, pisi kali
Umetembea na tembo wee, pisi kali
Umepita na Bad wee, pisi kali

Pisi kali pisi kali (Aha)
Kama umeshushwa bei (Aha)
Typically typically (Aha)
Kama malaika baby

Baby inapush nenga (Pisi kali)
Si macho matattoo (Pisi kali)
Inajiweza sio vizinga (Pisi kali)
Upaja una matattoo

Hio Hennessy au K Vant (Pisi kali)
Akitembea anatetema (Pisi kali)
Una swala zigo elephant (Pisi kali)
Anajua kuvaa

Zile level ka za Huddah (Pisi kali)
Au Tanasha Donna (Pisi kali)
Ama Shakilla wa Insta (Pisi kali)
Ama Vera Sidika (Pisi kali)

Kama una pisi kali
Piga mayowe wee
Woyoo, piga moyowe

Kama una pisi kali
Piga mayowe wee
Woyoo, piga moyowe

Pisi kali pisi kali (Aha)
Kama umeshushwa bei (Aha)
Typically typically (Aha)
Kama malaika baby

Kama una pisi kali
Piga mayowe wee
Woyoo, piga moyowe

Kama una pisi kali
Piga mayowe wee
Woyoo, piga moyowe

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post