LYRIC

Yaliniumiza nikajitia kusahau nikapenda tena
Yakaniliza tena na bado napenda
Stress za kufululiza
Nilivyo dhaifu sijui ata kusema sema
Nashukuru Mungu nahema na leo nimependa

Ndio yalivyo mapenzi
Hata huyu mpya niliye naye ananitesa
Ananikondesha,ananiendesha
Kumuacha siwezi, maana ndo moyo nilipouegesha
Mvua zikinyesha, ananiponyesha

Kwenye baridi napoa
Nitavumilia tena nishatangaza ndoa
Nitavumilia maana mababy nimepoa
Nitavumilia kutangatanga
Sio poa nitavumilia tantalala

Kanilambisha asali
Kila nikiwaza kumuacha wazo lapotea
Navua suruali
Ninatafuta na maji yakulowekea
Penzi ndo serikali
Naye ndo Rais siwezi kumfokea
Ila potelea mbali ninaridhishwa na mapenzi
Anayoniwekea

Nikinuna nalishwaga msatusatu
Sikumbuki nilishafunga chata
Tukishibaga kinachofata
Utelezi kwa makamaka

Ndo yalivyo mapenzi
Hata huyu mpya niliye naye ananitesa
Ananikondesha, ananiendesha

Kumuacha siwezi
Maana ndo moyo nilipo uwegesha
Mvua zikinyesha,ananiponyesha

Kwenye baridi napoa
Nitavumilia tena nishatangaza ndoa
Nitavumilia maana mababy nimepoa
Nitavumilia kutanga tanga
Sio poa aah! nitavumilia tatalala

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post