LYRIC

Leo nataka nikupe yote yote ma beiby
Ah! twende bara, twende pwani ma beiby
Halafu baby tulewe kidogo
Si unajuaga nikizidisha naanzisha zogo

Anapenda udeke deke
Twende Pemba tufike hadi Chake Chake
Kutekenya ucheke cheke
Ka mutoto napenda udeke deke

Nishazama, nishazama
Nishazama, nishazama

Haya ringa unavyoringaga
Tudondoshe mito tuvunje na chaga
Me napenda unavyolimwaga
Ukisakata uno lanipea vaga

Usinipe nusu, nipe yote eeh
Si unataka me niteketee
Yani tutoe baridi tuweke joto
Nataka nikupepee eeh!

Anapenda udeke deke
Twende Pemba tufike hadi Chake Chake
Kutekenya ucheke cheke
Ka mtoto napenda udeke deke

Anapenda udeke deke
Twende Pemba tufike hadi Chake Chake
Kutekenya ucheke cheke
Ka mutoto napenda udeke deke

Nishazama, nishazama
Nishazama, nishazama

Baby go! doido
Ongeza mbwembwe na madoido!
Baby go! doido
Ongeza mbwembwe na madoido!

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post