LYRIC

Akili za wabongo watajuwa nawaongopea
Viskendo skendo mimi sijavizoea
Akili za wabongo watajuwa nawaongopea
Viskendo skendo mimi sijavizoea

Mwenzenu kwa Irene uwoya (Nimegonga)
Wanamuita Tanasha Donnah (Nimegonga)
Ooh! Wema Sepetu (Nimegonga)
Kwa Linah hanaga noma (Nimegonga milango)

Ah! me muuza urembo ooh!
Toka kitambo naunga unga vifaa naeka kwenye rambo
Huu urembo una vijimambo
Huwezi uza bila kugonga milango

Ndo maana kwa Gigy Money (Nimegonga)
Kwa Paula Kajala (Nimegonga)
Ooh kwa Masha Love (Nimegonga)
Hadi kwa Bibi Tiffa (Nimegonga milango)

Niligonga kwa Amber Rutty
Kafungua mlango wa nyuma
Niligonga kwa Amber Rutty
Kafungua mlango wa nyuma

Kanunua Vi hereni na virangi
Pakee mwenyewe akasema ye hawezi
Nikampaka, nikampaka, nikampaka, nikampaka virangi
Nimegonga, Nimegonga lango ooh!

Huyu dada kaanza kudanga (Mbona bado mdogo)
Anasifika kwa umalaya (Mbona bado mdogo)
Mzoefu kukalia chupa (Mbona bado mdogo)
Humjui hakujui (Mshikilie acha shobo)

Hunidai Tambwe, sikudai
Hunidai G mauzo, sikudai
Hunidai Hansi, sikudai
Hunidai Jenny aii, sikudai

Ukinichukulia bwana, wewe dada tutauwana
Ukinichukulia bwana, wewe dada tutauwana
Ukinichukulia demu, mwanangu tutauwana
Ukinichukulia demu mwanangu tutauwana

Yeah umo umo
Ukinichukulia chu chu nichukulia
Eeeh! Ukinichukulia chu chu nichukulia
Aaah! Ukinichukulia demu, demu
Ukinichukulia bwana, bwana
Ukinichukulia bwana we dada tutauwana
Ukinichukulia demu mwanangu tutauwana

Nimegonga! Awe Ben Q
Nimegonga! Nisalimie Mkojani
Nimegonga! Wapi Dj Aiih
Nimegonga! We Jay Stereo nisalimie Muraq Dady
Utawauwa aah! Chuma aah

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post