LYRIC

Nakesha nikihesabu nyota
Labda masiku yajongee
Nikiota eti nitaokota
Ile radha ni miee

Kwa jihadi nishindane
Nikirejeshe kilichopotea
Nikose chongo mimi
Kwa kengeza niende komea

Night mwili wa baridi baridi
Pembeni shahidi nani
Baki mabua mahindi mahindi
Shambani nimecheka na nyani

Mi sio wa msiba sio wa heri
Niseme mi kwa kejeli
Machinga kaachwa feri
Matanga basi kwa herii

Tukaachana, ndo mana
Ndo mana, ndo mana
(Inauma sana sana)

Ndo mana
Ndo mana, ndo mana
(Inauma sana sana)

Mwana pori kulikosa shina
Kulikosa jina aibu kwa nani?
Tabia za Mwinyi mpeku
Yaani asili ni chetu

Nijitose nitange tange kwa nani
Nipate nini?
Pombe naikataa kwa imani, nahisi majini
Kijakazi nisiye na kazi
Sipandi ngazi hukujali
Huu my imani mi sina zari

Night mwili wa baridi baridi
Pembeni shahidi nani
Baki mabua mahindi mahindi
Shambani nimecheka na nyani

Mi sio wa msiba sio wa heri
Niseme mi kwa kejeli
Machinga kaachwa feri
Matanga basi kwa herii

Tukaachana, ndo mana
Ndo mana, ndo mana
(Inauma sana sana)

Ndo mana
Ndo mana, ndo mana
(Inauma sana sana)
Aaah..

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post