LYRIC

Yamenipiga juju penzi vunja chungu inauma (Inauma)
Umenifanya zuzu, umenipe machungu kaka kuona
Kweli we ndo yule, ulokuwa ukilala kifuani unasinzia
We ndo yule ulikuwa ukichelewa nyumbani unalia

Ni sawa bubu hasemi
Ila kusikia anasikia
Ni sawa kipofu haoni
Ila kusikia anasikia

Ah ulizifuga zangu mboni
Macho nikaweka panzia
Oh nah nah wouwoo

Nakesha sana kwa sangoma
Nashindwa lala kukoroma
Natamani kukuona nikuone tena

Nakesha sana kwa sangoma
Nashindwa lala kukoroma
Natamani kukuona nikuone tena

Natamani, urudi mama
Natamani, urudi tena
Natamani, rudi mapema
Natamani ooh mama

Natamani, urudi mama
Natamani, urudi tena
Natamani, rudi mapema
Natamani ooh mama

Ni kama umezima mshumaa
Koroboi haina mafuta
Sioni pa kupapasa

Mapema umekata tamaa
Na tama lizoee njaa
Ni kweli umenichoka

Ni kama Kusah na Ruby
Umeshafanya kusudi
Kuniumiza kuniumiza

Mmmh imekuwa ya Vanny na Jux
Hivi kweli hukumbuki
Unaniumiza, unaniumiza

Nakesha sana kwa sangoma
Nashindwa lala kukoroma
Natamani kukuona nikuone tena

Nakesha sana kwa sangoma
Nashindwa lala kukoroma
Natamani kukuona nikuone tena

Natamani, urudi mama
Natamani, urudi tena
Natamani, rudi mapema
Natamani ooh mama

Natamani, urudi mama
Natamani, urudi tena
Natamani, rudi mapema
Natamani ooh mama

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post