LYRIC

Tangu nikujue, Yesu
Tangu nikujue, Yesu
Nimeonja nimegundua kwamba we ni mwema
Nimegundua kwamba we ni mwema
Nimeonja nimegundua kwamba we ni mwema
Nimegundua kwamba we ni mwema

Wema wako ni wimbo wangu wa kila siku
Wema wako sauti yangu nitaimba milele
Wema wako ni wimbo wangu la la la la la la la
Wema wako sauti yangu nitaimba milele

Umetenda mema bila kuchoka
Umetenda miujiza bila kuchoka eh
Umetenda mema bila kuchoka
Umetenda miujiza bila kuchoka eh

Ukitenda asubuhi unatenda tena mchana
Ukitenda jioni usiku haulali
Ukitenda asubuhi unatenda tena mchana
Ukitenda jioni usiku haulali

Oh baba nimeonja
(Nimegundua kwamba we ni mwema)
Nimekuja
(Nimegundua kwamba we ni mwema)
Hhmmmm baba nimeonja tu
(Nimegundua kwamba we ni mwema)
Nimekwama hapa mie
Nimegundua kwamba we ni mwema

Wema wako haupimwi kwa kilo ama kwa hesabu
Wema wako huchagua kabila na miaka
Wema wako haupimwi kwa kilo ama kwa hesabu
Wema wako huchagua kabila na miaka

Wabariki haubagui eh baba eh
Wabariki kila taifa eh baba eh
Wabariki haubagui eh baba eh
Wabariki kila taifa eh baba eh

Baba wabariki
Wabariki haubagui eh baba eh
Wabariki kila taifa eh baba eh

Oh baba nimeonja
(Nimegundua kwamba we ni mwema)
Nimekuja
(Nimegundua kwamba we ni mwema)
Hhmmmm baba nimeonja tu
(Nimegundua kwamba we ni mwema)
Nimekwama hapa mie
Nimegundua kwamba we ni mwema

Oh baba nimeonja
(Nimegundua kwamba we ni mwema)
Nimeonja uzuri wako eh, mimi sitoki pale sibanduki mie)
(Nimegundua kwamba we ni mwema)
Nimeonja upendo wako Yesu, upendo wako ni mtamu kuliko asali
(Nimegundua kwamba we ni mwema)
Nimeonja fadhili zako zidumumilele
(Nimegundua kwamba we ni mwema)
Nimekwama pale mie, nimekwama
Sibandoki ng’o

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post