LYRIC

Polepole pole pole kinda naumia
Polepole pole pole mami alalala lala

Furaha inapopitiliza mi
Moyo wangu najajiuliza
Nikikosa sio miujiza
Polepole tutandunduliza

Toka enzi za kauka nikuvae
Mpaka leo kwenye nyumba ya vigae…
Kukupenda naona ni dawa
Nasema kukupenda..

Nimefall in love and your from above
Kwa kushoto kwangu wewe ndio ubavu
Nimefall in love and your from above
Kwa kushoto kwangu wewe ndio ubavu

Nimefall in love, fall in love
Nimefall in love, fall in love
Asante nimefall in love
Nimefall in love, nimefall in love

Nimefall, fall, nimefall fall
Fall in love, nimefall in love
Nimefall, fall, nimefall fall
Fall in love, nimefall in love

Najitahidi nisikukwaze
Pesa kwenye wallet niongeze
Ulevi wa mahaba niongeze eh eh
Mmmh ukipendeza nikupongeze
Kama ni upendo niongeze ukuta wa mahaba nijenge
Mmmh nah nah nah nah

Niandae party na mamacita
Penzi lako ghali —

Nimefall in love, fall in love
Nimefall in love, fall in love
Asante nimefall in love
Nimefall in love, nimefall in love

Nimefall, fall, nimefall fall
Fall in love, nimefall in love
Nimefall, fall, nimefall fall
Fall in love, nimefall in love

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post