LYRIC

Weeh serejo mi usinioni kolo
Kuhonga gari napewa mchanganyo
Wanangu msinione kwaru kuhonga
Nyumba napewa mchanganyiko

Weeh serejo mi usinioni kolo
kuhonga gari napewa mchanganyo mimi
Wanangu msinione kwaru kuhonga
Nyumba napewa mchanganyiko

Hata kama nikimuhonga gari la kwangu
Ya nini mpige kelele
Kwanza me ananipa pekeyangu
Mchanganyo wake nyuma na mbele

Hata kama nikimuhonga gari la kwangu
Ya nini mpige kelele
Kwanza me ananipa pekeyangu
Mchanganyo wake nyuma na mbele

Ndo maana msinione kolo
Kuhonga gari napewa mchanganyo
(Msinione kolo kuhonga gari napewa mchanganyo)
Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba

Napewa mchanganyiko
(Msinione kolo kuhonga nyumba napewa mchanganyiko)
Msinione kwaru kuhonga gari napewa mchanganyo mimi
(Msinione kolo kuhonga gari napewa mchanganyo)

Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba
Napewa mchanganyiko ooh! Ona aah!
Msinione kolo kuhonga nyumba napewa mchanganyiko

Mchanganyo, Mchanganyiko
Mchanganyo, Mchanganyiko
Mchanganyo, Mchanganyiko

Weeh! De
Ah! Mchanganyiko umenichanganya
Sio limbwata (Taah)
Mngejuaga anavyonipaga si mgedata (Taah)
Hapa ntadata Taah!

Pili napata Taah
Tatu niutata nisijefungiwa basata Taah!
Weeh nyuma paja figa mbwi sio mademu zenu wakidimbwi
Akinitaka silingi na akilengesha sirembi

Kwanza na nyumba ngingi
Mtoto amejazia
Na mimi sirembi akinisusia
Ndo maana akipiga katwazungu
wanamtafuta wazungu
Utamu ukizidi ninyonye mpaka aah!

(Msinione kolo kuhonga gari napewa mchanganyo)
Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba
Napewa mchanganyiko
(Msinione kolo kuhonga nyumba napewa mchanganyiko)
Msinione kwaru kuhonga gari napewa mchanganyo mimi
(Msinione kolo kuhonga gari napewa mchanganyo)

Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba
Napewa mchanganyiko ooh! Ona aah!
Msinione kolo kuhonga nyumba napewa mchanganyiko

Me namchuu me namchungulia
Me namchuu me namchungulia
Basi me namchuu me namchungulia
Me namchuu me namchungulia

Basi me namchungulia,me namchungulia
Basi me namchungulia,me namchungulia
Basi kama kweli chula maji
Piga msamba piga

Wanangu wa Kinondoni sijaona mkipiga
Basi kama kweli chula maji
Piga msamba piga
Wanangu wa Temeke sijaona mkipiga

Ngoja ngoja! Ngoja kwanza
Basi twende shibe shibe (Haina bei)
Shibe tena (Haina bei)
Shibe shibe (Haina bei)
Sijaona (Haina bei)

Shibe shibe (Haina bei)
Shibe tena (Haina bei)
Shibe shibe (Haina bei)
Sijaona (Haina bei)

Utamu wa Yesu umejaa kichwani
Ndo maana me namwaga mambo hadharani (Weeh Serejo)
Utamu wa Yesu umejaa kichwani
Ndo maana me namwaga mambo hadharani (Twende tena)

Basi zunguruka maboxer zunguruka
Weeh zunguruka Dida zunguruka
Weeh basi zunguruka Mizuna zunguruka
Haya aah! ah! (Me napewa mchanganyo)

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post