LYRIC

Mamitto Eunice ngendete muno
Kwanza pale YouTube
Niwaheni

Mi napenda dem ka Mamitto Eunice
Msimple hana maringo eeh
Figa fine tifi na dimples
Tena ana appetite ya kibanzenga beb

Mi napenda dem ka Mamitto Eunice
Msimple hana maringo eeh
Figa fine tifi na dimples
Tena ana appetite ya kibanzenga beb

Mamitto kega, waiga atia wega
Rucio rucio ningwenda
Mamitto kega, waiga atia wega
Rucio rucio ningwenda

Akiplay si unipe pudesh
Geuka basi mami hio pingis ni istretch
Ka unaskia kutieko ita bwibo na mangwets
Jua kujiteke sina isaa ya kubieng

Ati ngoko ana nanga shinda Mbukinya za West
Tena anabamba shinda shamba za huko West
Huyu mtu ateke juu ya kitanda ni games
On your mark get ready ni ka unapewa aah..

Ati toe on toe, tip toe tu mamitto
Ebu inama mi nione Afro kinky
Kwa hizi streets wao huniitaga Butita
Redo huwanga fisa ukinimalisa

Mi napenda dem ka Mamitto Eunice
Msimple hana maringo eeh
Figa fine tifi na dimples
Tena ana appetite ya kibanzenga beb

Mi napenda dem ka Mamitto Eunice
Msimple hana maringo eeh
Figa fine tifi na dimples
Tena ana appetite ya kibanzenga beb

Mamitto kega, waiga atia wega
Rucio rucio ningwenda
Mamitto kega, waiga atia wega
Rucio rucio ningwenda

Hii ndio mwaka tunaflex
Mi nacheza na kicrew ka nashine
Uliskia wapi mimi ndio flex
Nina nyundo na si less
Ukitaka uliza flex
Mammito mi napenda vako zako tu za sheng
Pale mneti we hunimada naskia niko dead
Waulize pale zabe wao hushikisha na mayengs
Waulize taxpayers mi hulipa bila debts
Nawabebe badmanners ntaitifi mi ndio next

Mi napenda dem ka Mamitto Eunice
Msimple hana maringo eeh
Figa fine tifi na dimples
Tena ana appetite ya kibanzenga beb

Mi napenda dem ka Mamitto Eunice
Msimple hana maringo eeh
Figa fine tifi na dimples
Tena ana appetite ya kibanzenga beb

Mamitto kega, waiga atia wega
Rucio rucio ningwenda
Mamitto kega, waiga atia wega
Rucio rucio ningwenda

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post