LYRIC

Yeah 001 (Teddy B)
Mwendo wake miguru baja
Figa namba 8, mapaja
Kama kashikwa na haja
Alivyobebanisha madaraja

Utamu wake kama pipi yeah
Viuno vya paka chongo
Nampa mpaka kwenye kiti yeah
Nampakiaga na mkongo

Ashawo awosha alivyo lege
Anavyonikosha hizo chuchu dede
Ashawo awosha alivyo lege
Anavyonikosha akinyonga

Kiuno, kiuno, kiuno, kiuno

Niaje baby girl figa fine figa fire
Bana jo unapendeza
Na sitakuchocha Mungu alikubless
Na ka umeokoka baby mi naokoka next

Huh, mi sitaenda nakufuata
Fununu mtaa we ni deng’a si dimanga
Na mi hukucheki nikilala
Nalala sana kwanzia juzi hadi jana

Unasimamishanga python bana unanikill
Ukidai kiboko unabonga na mi
Master kurusha lugha naogopa tu machura
Ka uko kwa box ni we pekee nitapatia kura

Kiuno, kiuno, kiuno, kiuno

Ashawo awosha alivyo lege
Anavyonikosha hizo chuchu dede
Ashawo awosha alivyo lege
Anavyonikosha akinyonga

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post