LYRIC

Yeah yeah yeah
Njoo tukate kate
Njoo tukate kate
Njoo tukate kate
Gordon Faxe Faxe
Blunder gane gane
Blunder gane gane

Baby sitaki mob ni kidogo tu
Tena sikai sana kidogo tu
Kama unadai kuonja, kidogo tu
Kidogo tu, kidogo tu, kidogo tu

Kidogo tu hio size mi sinaga
Chunga usikose ukipima na rada
Ju naskia we hutaka lakini hukunitaka
Vile ulinimarisa area nilikupata

Ni sawa, acha nikupeleke na rada
Jina ni Kanali, kapitan master
Mi hupenda angle theta ukiona na duster
Bado sijafika nataka kumwaga
Kubwaga kuzied, kusiepa na rada
Keshie akikosa unajua ni lawama
Ambapo tuko bukla unataka unataka
Eh unataka unataka unataka

Baby sitaki mob ni kidogo tu
Tena sikai sana kidogo tu
Kama unadai kuonja, kidogo tu
Kidogo tu, kidogo tu, kidogo tu

Baby sitaki mob ni kidogo tu
Tena sikai sana kidogo tu
Kama unadai kuonja, kidogo tu
Kidogo tu, kidogo tu, kidogo tu

Anasema ananipenda (Kidogo tu)
Lakini nina hela (Kidogo tu)
But kama unadai kuichapa
Itabidi umeichapa (Kidogo tu)

Pamba yangu imewaka (Kidogo tu)
Gwaash ni mtu wa maringi (Kidogo tu)
Ati Moraa amenyamba (Kidogo tu)
Na inanuka sana sink (Kidogo tu)

Ati mimi hupenda gut kwa wingi
Na vela kidogo tu ai ai
Kidogo lakini sina mambo na watu
Ichoma sana kama (Kidogo tu)

Njoo tukate kate
Gordon Faxe Faxe
Blunder gane gane
Blunder gane gane

Baby sitaki mob ni kidogo tu
Tena sikai sana kidogo tu
Kama unadai kuonja, kidogo tu
Kidogo tu, kidogo tu, kidogo tu

Baby sitaki mob ni kidogo tu
Tena sikai sana kidogo tu
Kama unadai kuonja, kidogo tu
Kidogo tu, kidogo tu, kidogo tu

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post