LYRIC

Ah! sawa ah
Tunapenda tusipo hitajika
Sawaa nimekubari me kolo eh!
Ah kama kawa bado anavunga
Hata nikimchatisha

Sawaa si anafanya anikomoe
Ah! nami sielewi
Siwezi kumkaushia aniache
ohh! sielewi
Sitoacha kumchalazia sitomeza mate

Sa nimitende vipi?
Japo ananikanyagia haina noma mwake
Kwa misele mingi sitoacha kumuibukia
Daily kwake ni kama kawa

Asipo jibu message nitampigia
Hata kama ata akiniona nitamkimbia
Kama kawa! Nitapona endapo nitamsikia
Kama kawa! Sitachoka me japo ohh! naumia

Ah! nami sitoona jau
Ye muacheni anichunie
Napanda dau nitafanya anifikilie eehh! eeh!
Huenda ananidharau
Kaona mwenzangu na mimi

Penzi la zambarau peupe asiwachafulie
Nitampenda mpaka basi
Kama atanipa nafasi
Maana mabaya, mapenzi mabaya ah!

Me moyo wangu takasi
Siwezi wekeza visasi
Wana roho mbaya
Mi sina roho mbaya

Nami sielewi
Siwezi kumkaushia aniache
Ohh! sielewi
Sitoacha kumchalazia sitomeza mate

Sa nimitende vipi?
Japo ananikanyagia haina noma mwake
Kwa misele mingi sitoacha kumuibukia
Daily kwake ni kama kawa

Asipo jibu message nitampigia
Hata kama ata akiniona nitamkimbia
Kama kawa! Nitapona endapo nitamsikia
Kama kawa! Sitachoka mi japo ohh! naumia

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post