LYRIC

Nikitafuta amani, nilipata upendo
Nikitafuta msamaha wa dhambi, nikapata neema (neema)
Kiburi kiliponipanda
Na kudhani nitaweza pekee yangu
Nguvu za msalaba, kanionyesha pendo la Yesu

Na sasa ni huru. kwa pendo la Yesu
Damu yake yatosha, Nina raha moyoni (mpende)
Jirani yako, usimpe shetani nafasi
Onyesha pendo la Yesu.. bwana habagui
Na sasa ni huru. kwa pendo la Yesu
Damu yake yatosha, Nina raha moyoni (mpende)
Jirani yako, usimpe shetani nafasi
Onyesha pendo la Yesu.. bwana habagui

Je watafuta amani?
Kwake kuna amani
Msamaha wa dhambi zako…mpendwa utapokea
Zilete chini ya msalaba wake
Zitue pale..Raha ya kweli utapata..Miguuni pa Yesu

Na sasa ni huru. kwa pendo la Yesu
Damu yake yatosha, Nina raha moyoni (mpende)
Jirani yako, usimpe shetani nafasi
Onyesha pendo la Yesu.. bwana habagui
Na sasa ni huru. kwa pendo la Yesu
Damu yake yatosha, Nina raha moyoni (mpende)
Jirani yako, usimpe shetani nafasi
Onyesha pendo la Yesu.. bwana habagui
Na sasa ni huru. kwa pendo la Yesu
Damu yake yatosha, Nina raha moyoni (mpende)
Jirani yako, usimpe shetani nafasi
Onyesha pendo la Yesu.. bwana habagui
Na sasa ni huru. kwa pendo la Yesu
Damu yake yatosha, Nina raha moyoni (mpende)
Jirani yako, usimpe shetani nafasi
Onyesha pendo la Yesu.. bwana habagui

Added by

yanson

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *