LYRIC

Mwenzenu nina hadithi
Kujeni niwahadithie eeh
Siwezi kufa kinyonge na nyie mpo
Mwenzenu nina siri
Naombeni niwaambie eeh!
Hata ni kifa na siri naenda nayo wapi?

Alikuwepo niliyompenda
Nikampa na moyo ooh!
Hisia akaniteka, nikazama nikaelea
Mmhh!

Mwenzenu nina hadithi
Kujeni niwahadithie eeh
Siwezi kufa kinyonge na nyie mpo
Mwenzenu nina siri
Naombeni niwaambie eeh!
Hata ni kifa na siri naenda nayo wapi

Alikuwepo niliyompenda
Nikampa na moyo ooh!
Hisia akaniteka,nikazama nikaelea
Mmhh!

Mwenzenu nina hadithi
Kujeni niwahadithie eeh
Siwezi kufa kinyonge na nyie mpo

Mwenzenu nina siri
Naombeni niwaambie eeh!
Hata ni kifa na siri naenda nayo

Alikuwepo niliyompenda
Nikampa na moyo ooh!
Hisia akaniteka,nikazama nikaelea
Mmhh!

Mwenzenu nina hadithi
Kujeni niwahadithie eeh
Siwezi kufa kinyonge na nyie mpo
Mwenzenu nina siri
Naombeni niwaambie eeh!
Hata ni kifa na siri naenda nayo

Alikuwepo niliyompenda
Nikampa na moyo ooh!
Hisia akaniteka, nikazama nikaelea
Mmhh!

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post