LYRIC

Sasa inatosha kuwa single
Nimepata baby kipenzi cha roho
Ananipenda kweli si mchezo
Mwaka hauishi navyotajika

Tabia tunaendana tunafanana
Nikija itwa baba naye aitwe mama
Naomba kwa Maulana awe mke mwema
Isije mbele mbele siku akanichanganya

Nakuzimia hata bila makeup unavutia
We ni bonge la baby nakuimbia
Maji kwa mtima natulia
Iye iye iye..

Hata kwa dumba sikuachi
Mtoto wa bei ghali, flora
Na vita vitani
Kukuacha we haiwezekani, flora

Hata kwa dumba sikuachi
Mtoto wa bei ghali, flora
Na vita vitani
Kukuacha we haiwezekani, flora

Nipeleke unavyotaka
Kwangu — sina kama toy toy
Kile unachofanya nafurahi rahi
Moyo unakupenda
Nizamishe kwenye kina upendo wako
Utaniua kwa mapenzi yako mama ona

Nakuzimia hata bila makeup unavutia
We ni bonge la baby nakuimbia
Maji kwa mtima natulia
Iye iye iye..

Hata kwa dumba sikuachi
Mtoto wa bei ghali, flora
Na vita vitani
Kukuacha we haiwezekani, flora

Hata kwa dumba sikuachi
Mtoto wa bei ghali, flora
Na vita vitani
Kukuacha we haiwezekani, flora

Added by

yanson

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *