LYRIC

Si kwa nguvu, si kwa uwezo ni kwa jina la Yesu
Si kwa nguvu, si kwa uwezo ni kwa jina la Yesu
Jina lenye mamlaka ni Jina la Yesu
Jina lenye mamlaka ni Jina la Yesu
Tukiliita hilo jina twaokolewa aaaaaa
Tukiliita hilo jina twaokolewa

Yesu! Umeinuliwa
Yesu! Umetukuka
Yesu! Twapata nguvu kwako
Yesu! Umeinuliwa
Yesu! Umetukuka
Yesu! Twapata nguvu kwako

Linaponya lakomboa lina uwezo hilo jina
Latawala kwa ushindi twaliita hilo jina
Tukiliita hilo jina twaokolewa aaaaaa
Tukiliita hilo jina twaokolewa

Yesu! Umeinuliwa
Yesu! Umetukuka
Yesu! Twapata nguvu kwako
Yesu! Umeinuliwa
Yesu! Umetukuka
Yesu! Twapata nguvu kwako

Anaponya akomboa ana uwezo, Yesu
Atawala kwa ushindi, twamuita Yesu
Tukiliita hilo jina twaokolewa aaaaaa
Tukiliita hilo jina twaokolewa

Yesu! Umeinuliwa
Yesu! Umetukuka
Yesu! Twapata nguvu kwako
Yesu! Umeinuliwa
Yesu! Umetukuka
Yesu! Twapata nguvu kwako
Yesu! Umeinuliwa
Yesu! Umetukuka
Yesu! Twapata nguvu kwako
Yesu! Umeinuliwa
Yesu! Umetukuka
Yesu! Twapata nguvu kwako

Linaponya lakomboa lina uwezo hilo jina
Latawala kwa ushindi twaliita hilo jina

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post