LYRIC

Cheusi kajazwa rangi ndi kanyimwa akili
Eti dume zima nalisumbua akili
Umekosea hadhi ya wanaume, mnenguaji huna kaba
Una sauti ya mama na sura ya baba

Maneno ni mengi na hicho kisauti nyororo
Sikuja niime we ukatike ndombolo
Kujichekesha chekesha mwanaume hio kasoro
Kanogeshe viringe si hatupashi viporo

Cheusi, cheusi we, cheusi
Cheusi, cheusi we, cheusi
Cheusi, cheusi we, cheusi
Cheusi, cheusi we, cheusi

Una binadamu unaujua una uma unahema
Sasa yuko kwangu inawauma, ona kwenu hatukusema
Punguzeni kuzila huu mchezo hauhitaji hasira
Isiwe zenu mashujaa, kimya kimya mpaka tumezaa

Mbona mimi hunisikii
Kwa redio wala TV
Eti ka eh niko DC
We umeweza vipi?

Maneno ni mengi na hicho kisauti nyororo
Sikuja niime we ukatike ndombolo
Kujichekesha chekesha mwanaume hio kasoro
Kanogeshe viringe si hatupashi viporo

Cheusi, cheusi we, cheusi
Cheusi, cheusi we, cheusi
Cheusi, cheusi we, cheusi
Cheusi, cheusi we, cheusi

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post