LYRIC

(It’s S2kizzy baby)

Katoto kanakaa udongo
Kamenishika si uongo
Samaki kamongo, ayee
Kanatema yai kimombo

Nikiweka iweke
Na kananisweet, sweet
Mi nateka mteke
Oh yah yah

Vile umenishika shika
Mpaka nasimama dede
Shika shika nahisi dege dege
Shika nipe steam ya Konyagi na mbege

Vile umenishika shika
Mpaka nasimama dede
Shika shika nahisi dege dege
Shika nipe steam ya Konyagi na mbege

Oya baby busy body, busy body, busy body
Oya baby busy body, busy body, busy body
Oya baby busy body, show up busy body
Oya baby busy body, show up busy body

Sipati picha kiuno nikikishika
I like when you dance mamacita
Vuta waya moja mi nafika
Mtoto picha flani imeumbika

Sio kitoto yaani heavy
Heavy heavy
Chumbani baby baby
Baby baby

Duu nirushie kwa –twende mama
Na litafurahi tukimskiza ka Obama
Ana bonge la shape hajui nani
Hizo chuchu saa sita kifuani
Kuna watoto wameumbika duniani

Amenishika shika mpaka nasimama dede
Shika shika nahisi degedege
Shika nipe steamu ya konyagi na mbege
Yeah yeah yeah

Oya baby busy body, busy body, busy body
Oya baby busy body, busy body, busy body
Oya baby busy body, show up busy body
Oya baby busy body, show up busy body

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post