LYRIC

Mungu ukibariki bariki chokora
Mungu ukiinua inua chokora
Mungu ukibariki bariki chokora
Mungu ukiinua inua chokora

Kuokota mapipani, gunia mgongoni
Tumboni sina kitu Mungu nisaidie
Kuokota mapipani, gunia mgongoni
Tumboni sina kitu Mungu nisaidie

Mungu ukibariki bariki chokora
Mungu ukiinua inua chokora
Mungu ukibariki bariki chokora
Mungu ukiinua inua chokora

Kila ninapoenda watu wanichukia
Matusi kila kona eh Mungu nikumbuke
Kila ninapoenda watu wanichukia
Matusi kila kona eh Mungu nikumbuke

Mungu ukibariki bariki chokora
Mungu ukiinua inua chokora
Mungu ukibariki bariki chokora
Mungu ukiinua inua chokora

Malazi mimi sina, mavazi pia shida
Machozi kila mara Mungu niinue
Malazi mimi sina, mavazi pia shida
Machozi kila mara Mungu niinue

Mungu ukibariki bariki chokora
Mungu ukiinua inua chokora
Mungu ukibariki bariki chokora
Mungu ukiinua inua chokora

Machozi mi nalia, mimi nikikumbuka
Jinsi chokora wanadhulumiwa
Machozi mi nalia, mimi nikikumbuka
Jinsi chokora wanadhulumiwa

Mungu ukibariki bariki chokora
Mungu ukiinua inua chokora
Mungu ukibariki bariki chokora
Mungu ukiinua inua chokora

Ibariki, inua (Inua chokora)
Ibariki, inua (Inua chokora)
Ibariki, inua (Inua chokora)
Ibariki, inua (Inua chokora)

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post