LYRIC

Ingekuwa mimi,kama si neema yako
Hapa nilipo singefika,kwa uwezo wangu
Wengi wamepoteza maisha yao
Si kwamba mi mtakatifu
(Niliye mnyonge tena mdhaifu umenihifadi)

Asante Asante
Umekuwa mwaminifu,umenipa uhai
Kwa wema na baraka, nimejua wewe ndiwe, unafaa sifa zangu
Asante Asante
Umekuwa mwaminifu,umenipa uhai
Kwa wema na baraka, nimejua wewe ndiwe, unafaa sifa zangu

Miaka mingi imeshapita
Umenilisha kanivalisha
Mafanikio nimeyaona, kweli wewe ni Mungu
Katika huzuni zangu, wanifariji
Sitapungukiwa na kitu
(Niliye mngonge tena mdhaifu umenihifadhi)

Asante Asante
Umekuwa mwaminifu,umenipa uhai
Kwa wema na baraka, nimejua wewe ndiwe, unafaa sifa zangu
Asante Asante
Umekuwa mwaminifu,umenipa uhai
Kwa wema na baraka, nimejua wewe ndiwe, unafaa sifa zangu
Asante Asante
Umekuwa mwaminifu,umenipa uhai
Kwa wema na baraka, nimejua wewe ndiwe, unafaa sifa zangu
Asante Asante
Umekuwa mwaminifu,umenipa uhai
Kwa wema na baraka, nimejua wewe ndiwe, unafaa sifa zangu

Added by

yanson

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *