LYRIC

Anandida huyoo

Nimempima malaria hana, nimempina
Nimempima typhoid hana, nimempima
Nimempima na kaswende hana, nimempima
Nimempima HIV hana, nimempima

Nataka nimpeleke kwa mama anaogopa
Nikamtambulishe kwa wana anaogopa
Mwenzenu mi bado kijana naogopa
Sijui ana ugonjwa gani huyu maana naogopa

Kumbe anandi, anandida anandi (Andida)
Huyo anandi, anandida anandi (Andida huyo)
Kumbe anandi, anandida anandi (Andida)
Anandi, anandida anandi (Andida huyo)

Toto kinanda shepu kibanda, ila mmh mmh
Kiuno cha langa, chambu karanga ila, anandi
Muda wote nasikia kiu kiu, aah kiu kiu
Hataki maji anataka naniliu, aah naniliu

Corona kisukari, hana
Gono, UTI, hana
Kipindu pindu yuko shwari, hana
Kumbe ana nini, anandi

Nataka nimpeleke kwa mama anaogopa
Nikamtambulishe kwa wana anaogopa
Mwenzenu mi bado kijana naogopa
Sijui ana ugonjwa gani huyu maana naogopa

Kumbe anandi, anandida anandi (Andida)
Huyo anandi, anandida anandi (Andida huyo)
Kumbe anandi, anandida anandi (Andida)
Anandi, anandida anandi (Andida huyo)

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post