LYRIC

Prrbeng beng beng katoto tamtam yeah go
They call me Yayah eh

Huna dole la kati ngo ngo ngo
Uko msokote ko ko ko
Mtoto unaye kikwade do do do
Hunaga porojo

Amina eeh, Amina
Amina sakata rhumba Amina
Amina lelele Amina eh
Amina sakata ngoma Amina

Changanya moto kati
Iwe ya moto kasi
Kwengine mi sitaki
God kakubless

Ah toto la kinyema nyema (Eh)
Ka mlima (Eeh)
Ulivyokajaza hapo nyuma
Yaani nikinguruma unaguna
Yalah mama nakufa

Amina eeh, Amina
Amina sakata rhumba Amina
Amina lelele Amina eh
Amina sakata nyonga Amina

She call me darl, she call me daddy eh
Oh nah nah nah eh eh
Wakisema suu kidume naweka pesa
Pakiti ya ndimu chuku chuku mi navesha

Toto majinun mwenye imani ya kirasta, rasta
Oh nah nah nah eh
Una lafudhi ya kijanja eh, toto Amina eh
Mawazo tuliza na ganja eh, toto Amina eh

Nishike ngingingi nganganga
Penzi niwekee kwa kiganja
Mwendo sambasault samba
Mapenzi uchizi wa kishamba

Ah toto la kinyema nyema (Eh)
Ka mlima (Eeh)
Ulivyokajaza hapo nyuma
Yaani nikinguruma unaguna
Yalah mama nakufa

Amina eeh, Amina
Amina sakata rhumba Amina
Amina lelele Amina eh
Amina sakata nyonga Amina

Added by

yanson

SHARE

Comments are off this post